062 - Mafarisayo Wachunguza Kuponywa Kwa Kipofu from bado sana Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Maandiko ya kumbukumbu: Yohana 9: 18-41nWafarisayo wachunguza alinyeponywa na wazazi wake.nnSwali 1: Katika upinzani mkali sana, mtu ambaye alikuwa kipofu anashuhudia kumhusu Yesu. Je iamni yako imetiwa changamoto kiasi gani katika hali kama hii?nnSwali 2: Baada ya kukabiliana na Yesu ni nani na kile anafanya, ni kwa nini unafikiri watu wengi bado hawataki kuamini?nnSwali 3: Imani kwa Yesu inaweza kutusababisha kutengwa na makundi mengine. Je, umewahi kushuhudia wakati kama huu?nnTazama, pakua,